WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

mwl. yuko mbeya - mbozi anataka mwalimu wa kubadilishana nae kutoka Arusha wilaya yoyote..
mawasiliano 0759630607
 
Njoo buhigwe manyovu kigoma idara ya sekondari mimi nije kilombero,kilosa,iringa,makambako
 
Njoo Dodoma manispaa NIJE mbeya jiji au wilaya ya mbeya, idara ya sekondari. Kwa aliye tayari anitafute in box
 
Njoo mwanza nije dodoma,morogoro,pwani, ila uwe unatoka manispaa
 
Njoo MTWARA MANISPAA nije mwanza jiji, sengerema, geita na chato, idara ya sekondari. mawacliano 0652620272
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.255684122208
 
Vp umepata mtu wa kubadilishana nae na
upo singida sehemu gani?
 
Kama uko tayari kuja Mbeya wilaya mpya ya Momba, nije Kahawa mji . Send me PM. IDARA YA SEKONDARI. Au tuwasiliane kwa 0758484676/0714548048
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.255684122208
 
Back
Top Bottom