WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo musoma manispaa mi nije MWANZA jiji,dodoma,arusha jiji,tanga,Moro town ama moshi town idara msingi
0763270623,0714549101,0759278491.
 
Njoo KONDOA mm nije muheza,korogwe,mkinga,pangani au handeni mwalimu idara ya msingi nipigie cm 0765839739
 
bado natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo yeye aje Same mimi niende kati ya iringa manispaa,Njombe mjini, mbeya jiji, songea manispaa! idara ya sekondari! aliyetayari tuwasiliane kwa 0752206626, 0782770679
 
Njoo Mbinga nije Singida manispaa idara Sekondar 0658373628
 
Karibu handeni mkoa wa Tanga nije
Mkuranga
Kbaha
Temeke
idara sec
0786475050
0715475050
 
Njoo mtwara manispaa nije mwanza au chato, geita mji na sengerema, idara sekondari mawasiliano 0652620272
 
NIPO HANDENI TANGA NATAFUTA WAKUBADILISHANA NAE KITUO KATI YA wilaya ya hai, siha au manispaa ya moshi mjini.idara msingi
 
bado natafuta was kubadilishana nae aje tabora manispaa niende tanga jiji,korogwe au muheza.0785057069.
 
Jamani bado natafuta wa kubadishana nae kituo cha kazi idara sec aje tabora manispaa Mimi nije Tanga jiji,korogwe au muheza.0785057069,0765083251 please!!,
 
Back
Top Bottom