WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mwl MYAVA idara sec yupo TUKUYU-MBEYA anatafuta mwl mwenzake wakubadilishana nae kutoka IRINGA-MANISPAA
No:0755814809
0757051788
 
Natafuta MWL wa kubadilishana nae NIKO mkoa wa kagera wilaya ya ngara idara ya msingi Mimi niende ARUSHA ,MANYARA,Kilimanjaro au tanga 0758198605
 
Mwl AMALI idara Sec yupo RORYA anatafuta mwl mwenzake wakubadilishana nae kutoka MOROGORO;TANGA;KILIMANJARO au ARUSHA
No:0768661107
 
Njoo mtwara manispaa mm nije mwanza jiji, sengerema, geita mji na chato. idara ya sekondari. namba ya cmu 0652620272
 
njoo bukoba manispaa nije mwanza jiji au morogoro manispaa. idara ya sekondari. 0758185413
 
Habari ya Asubuhi Wadau..

Mimi ni Mwl. wa sekondari ngazi ya Shahada katika halmashauri ya wilaya ya Mbozi ( Mbeya) natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka mkoa wa Arusha wilaya yoyote yeye aje Mbozi mm niende huko aliko..
anaehiyaji jaman ani PM tupigane tutoke majina ya July TAMISEMI..

Nawasilisha..

vp Mosh!
 
Njoo handeni Tanga nije
Dar manispaa yyte
Mkuranga
kibaha
Idara sec
tuwasiliane kwa
0786475050
0715475050
 
Njoo kilwa masoko,,dogo aje DAR,BAGAMOYO,MORO,KIBAHA,MKURANGA
 
Njoo missenyi kagera karibu kabisa na bukoba municipal nije ulipo ww. Ofa hyo fasta wah kabla mwenzio hajaniwah 0713026331 idara sec
 
Mwl idara Sec yupo BUKOBA MJINI anantafuta mwl mwenzake wakubadilishana naye kutoka DODOMA MANISPAA
No:0752399130
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingaitia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
.

Mimi Ni mwalimu WA shule ya sekondari Usangi,, naomba mtu
 
Mimi Ni mwalimu wa sekondari usangi day mwanga Kilimanjaro, naomba kubadilishana na mtu aliyeko dodoma manicipal.
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.255684122208
 
Mwl MAIGE idara msingi yupo SHINYANGA-HALMASHAURI anatafuta mwalimu mwenzake wakubadilishana nae kutoka MBULU-MANYARA
NO:0756036717
0787477153
 
Back
Top Bottom