WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

TANGAZO LA BEST YANGU;
Njoo ushetu kahama nije mkalama-singida au korogwe-tanga. Idara elimu msingi.
 
anayetaka kuja Moshi nije Mbeya Morogoro au Iringa idara ya sec 0713819887
 
kuna Mwl mwenzangu yupo Kalambo Rukwa anataka kuhamia Moro Tanga Dar Pwani Dom kama unataka mtafute Barnaba Idara ya sec 0718649958 0767396798
 
Walimu forum hii mbona hatuitumii kuhama tujuzane kila mtu aende apendapo
 
Njoo Moshi Kilimanjaro nije Iringa Mbeya Morogoro idara ya sec 0763445535 Mwl Kachima
 
Habari ya Asubuhi Wadau..

Mimi ni Mwl. wa sekondari ngazi ya Shahada katika halmashauri ya wilaya ya Mbozi ( Mbeya) natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka mkoa wa Arusha wilaya yoyote yeye aje Mbozi mm niende huko aliko..
anaehiyaji jaman ani PM tupigane tutoke majina ya July TAMISEMI..

Nawasilisha..
 
Iringa-kilolo karibu na manispaa nije kati ya 1mkuranga
2temeke
3bagamoyo
4 pwani. Nipm nikupe maelekezo mazuri.
 
Njoo Tanga Jiji nije Kinondoni au Ilala. Idara ya sekondari PM kwa mawasiliano zaidi.
 
YEYOTE ALIYEKO DAR ES SALAAM JIJI AU KIBAHA MJINI,AJE MWANZA JIJI NYAMAGANA SHULE YA SEKONDARI NYAKABUNGO: 0756021311#0716264618(wenye nia wajitokeze waje jiji wale SATO &SANGARA)
 
Back
Top Bottom