Mimi si Mwalimu ila nina taarifa kuwa kuna nafasi 30 wilaya ya ilala kwa wanaotaka kuhamia hebu fuatilia kwa wale wanaotaka kufanya kazi wilaya ya ilala
Mimi ni mwalimu wa secondary nafanya kazi katika almashauri ya wilaya ya kibondo, mkoani kigoma.
Natafuta wa kubadilishana nae nihamie dar es salaam wilaya ya ilala au temeke