Natafuta mwalimu wa sekondar wa kubadilishana nae kituo cha kazi toka Arusha jiji mie niende Morogoro manispaa, kama unawiwa tuwasiliane kupitia 0718117784
Mahenge morogoro huwezi kuja?
Mimi mwl wa sekondari,njoo Same,nije Arusha jiji nicheki 0682894287.
Mimi mwl wa sekondari,njoo Same,nije Arusha jiji nicheki 0682894287.
Mie nipo mby nataka kuja moro,km vp 2badilishane