WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Mim mwl(Sekondari) wa shinyanga-bariadi tubadilishane na mwl wa(nataka kwenda) mbeya,iringa,njombe na morogoro.ambaye yupo tayari ani PM
 
Mim mwl(Sekondari) wa shinyanga-bariadi tubadilishane na mwl wa(nataka kwenda) mbeya,iringa,njombe na morogoro.ambaye yupo tayari ani PM
 
tatafuta mwalimu wa kubadilishana nae toka ROMBO KILIMANJARO mi nipo KWIMBA MWANZA .mawasiliano 0759547047.kwa shule ya msingi
 
songea halmashauri ya wilaya au manispaa kuna walimu watatu wapo galmashauri ya wilaya ya songea wanataka kuja mbeya
 
mwalimu wa kubadishana kituo kutoka mtwara au lindi aje halmashauri ya wilaya ya songea idara sekondari
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.255684122208
 
Njoo dodoma manispaa nije mbeya jiji au wilaya ya mbeya, kwa aliye tayari tuwasiliane inbox
 
Back
Top Bottom