WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo kasulu mjini idara ya sekondar nije mtwara manispaa, iringa manispaa, bagamoyo au Dar. Tusomane kwa 0759167916/0715167916 baada ya kukamilisha uhamisho utapata 500000Tsh
 
Mwalimu wa secondary kama upo interested na Kibiti, Pwani pana umeme, maji na karibu sana na Dar...
Nahitaji kubadilishana na mtu kutoka sehemu zifuatazo:-
TANGA mjini
MUHEZA mjini
KOROGWE mjini
PANGANI mjini
DODOMA mjini
MOROGORO mjini
MWANZA mjini

njoo bunda mjini ndugu
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums

ninatafuta mtu kutoka mtwara(m) mimi npo tanga-kilindi idara sec 0786043373
 
Piga 0714010511 nirudi kwetu Mufindi...idara secondary

Nje ya mada;
Mkuu nimeona jina lako nimekumbuka ndoto niliyoota wiki kama mbili zilizopita ikihusisha the exact name, sikumbuki ndoto ilikuwaje lakini nachokumbuka ni kwamba ndoto ilikuwa dhahiri kiasi kwamba niliposhtuka usingizini nilisave hilo jina kwenye notes zangu (BIGURUBE1971), hapa napitapita nimeona the exact same name...duh, majanga! Sijuwi we ndugu yangu au adui yangu, sijui coincidence tu....lol!
 
Mke wa jamaa yangu anahitaji mwalimu wa kubadilishana naye kituo, yeye yuko Makambako anahitaji kusogea kwa mumewe Songea. Ni mwalimu wa shule ya msingi.
 
Upo shule gani Al Mkubwa? Pia ni bukoba mjini au vijijini?

butulage secondary

bukoba vijijini

ucwe na hofu,huduma zote zipo,kinachonitoa huko ni umbali kutoka iramba ambako ndio nyumbani

pigia ndugu zako wakwambia kata ya butulage mazingira yake yakoje,watakwambia!
 
Mi ni mwl msingi,njoo lindi mim niende katnya mikoa ifuatayo morogr,arusha,tanga,pwani,au iringa 0754823841
 
Tangazo

kuna group la wassap kwa ajili ya waalimu lengo ni kusaidiana katika uhamisho,weka namba yako ktk inbox yangu nikuadd.wahi wamebaki wachache.
 
Back
Top Bottom