WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Anaye hitaji kuja magu-mwanza mimi nije,same,lushoto,korogwe,handeni
Nipo idara ya elimu sekondari. Km upo tayari ni pm,mwanbie na mwenzio
 
mimi npo wilaya ya kilindi mkoa wa tanga ninatafuta wa kubadilishana nae kutoka mtwara (m) idara ya sekondar kama utahitaji nitafute 0786043373
 
Mwalimu wa secondary kama upo interested na Kibiti, Pwani pana umeme, maji na karibu sana na Dar...
Nahitaji kubadilishana na mtu kutoka sehemu zifuatazo:-
TANGA mjini
MUHEZA mjini
KOROGWE mjini
PANGANI mjini
DODOMA mjini
MOROGORO mjini
MWANZA mjini

duuh mkuu bado hauja fanikisha tu kuhama huko?
 
ninatafuta mtu wa kubadilishana nae kutoka mtwara (m) aje tanga halmashaur ya wilaya kilindi idara ya sekondari 0786043373
 
Natafuta wa kubadilishana nae atokee manispaa ya Moro ,dodoma au tanga aje meatu by mwl Linus 0713222720 idara ya sekondary
 
Kama unataka kuja muheza Tanga mie nije Mbeya mjini ama Dar wilaya yoyote, idara ya sekondari ni pm.
 
NJOO musoma(BUTIAMA)
nije DAR PWANI TANGA DODOMA MOROGORO
wilaya yoyote ile
IDARA YA MSINGI
#0753 629314
 
Back
Top Bottom