PEASANT BOY
Member
- Jul 24, 2014
- 53
- 0
njoo mwakaleli sec iliyopo wilaya ya Busokelo Tukuyu nije iringa mjini au vijijini.
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?
Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.
Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.
MUHIMU: Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.
Tunakutakieni utumishi mwema.
JamiiForums
Njoo KIBAHA mji nije mara seconary
wanaukumbi Bila shaka nyote ni wazima. mimi ni Mwalimu wa sekondari nimeajiriwa na Serikali huko kisiwani ukerewe. ndugu zangu mazingira ya kazi, gharama za maisha na umbali wa kijiografia vinachangia kunifanya nipate tabu na mazingira ya kule hasa nikielekea Dar Likizo. Nimejaribu uhamisho wanakataa. Naombeni ushauri wenu ndugu zangu.
"Elimu ni ufunguo wa maisha"
Tumia elimu uliyonayo kujiajili lakini kuwa makini usiache kazi kabla hujajiajili. "ACHA KAZI UONE ILIVYO KAZI KUPATA KAZI".