WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Anayetafuta mwalimu wa hesabu na masomo ya biashara kwa mkoa wa Pwani kibaha tuwasiliane kwa namba 0757170397
 
Mml yupo idara ya msingi yupo TABORA-UYUI njia ya nzega anatafuta MWL mwenzake wa kubadilushina nae kutoka DODOMA popote
No.0685155825
 
Nishachemka na kukata tamaa na hii mambo ya kubadilishana maana cpati mtu. Walimu wa SEKONDARI walopangwa Tanga hawataki kuja KIBITI-RUFIJI, haya kaeni nyie mfaidi lakini huko ni kwetu sie....
 
Niko katika halmashauri ya wilaya ya kilombero ninamtafuta mwalimu wa sekondari aliye katika halmashauri ya manispaa ya Mbeya ambaye anataka kuhamia katika halmashauri ya Kilombero, kama kuna mwalimu aliye tayari kubadilishana ani tumie PM.
 
Njoo Tarime sec. Mimi nije Arusha, Kilimanjaro, Manyara na Tanga wilaya yoyote. Nko Tarime katika mji wa Sirari. 0752490349
 
Mwalimu idara ya sec.nipo Bariadi mkoa wa Simiyu.natafuta mwalimu wa kubadilishana nae ktk wilaya ya Kibaha,Mkuranga,Arusha au Moshi Town..Tuwasiliane ktk email [email protected]to ukikamilika kuna donge none..
 
Idara Secondory

Natafta mwl.wakubadilishana nae kutoka mkoa wowote ule wa kanda ya kaskazini au kanda ya kati

Aje wilaya mpya ya kalambo-rukwa

Phn: 0763240278

Waiting for ur response!
 
Back
Top Bottom