WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo MAGU MJINI elimu ya msingi kama uko pande za Kibaha, Mkuranga, Bagamoyo, au Morogoro..0682 279435
 
Njoo Newala Mtwara mimi niende wilaya yoyote ya MKOA WA TANGA idara ya SEKONDARI.KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA 0783677207,0767665619 na 0717765619.PIGA AU TUMA SMS FASTER NITAKUJIBU
 
Njoo Mtwara nije Songea,idara ya sekondar Kwa mawasiliano 0764513905
 
Mwalimu Idara ya sekondari ambaye yupo Katika Wilaya yoyote tuwasiliane kama kuna uwezekano aje wilayani KIBONDO mimi niende alipo yeye . mawasiliano 0717551050
 
Natafuta Mtu Wa Kuja Songea Mimi Nije Mwanza Ususani Mwanza Jiji/ Ilemela Au Sengerema Idara Sekondar. Mawasiliano Yangu Ni 0756821163 Au 0788343508.
 
Natafuta Mwalm Wa Kubadilishana Kituo Yeye Aje Singda Mjini Na Mim Nije Sengerema Idara Ya Secondari, Mawasiliano Yangu 0764520372
 
Mwalimu wa secondary kama upo interested na Kibiti, Pwani pana umeme, maji na karibu sana na Dar...
Nahitaji kubadilishana na mtu kutoka sehemu zifuatazo:-
TANGA mjini
MUHEZA mjini
KOROGWE mjini
PANGANI mjini
DODOMA mjini
MOROGORO mjini
MWANZA mjini
 
Mwl GILBERT idara msingi yupo GEITA-CHATO anatafuta mwl mwenzake kutoka eidha ARUSHA;DODOMA;SINGIDA au PWANI.
0768696236
 
Hivi uhamisho umekuwa mgumu mithili ya ESCROW ? Kuna haja ya walimu kuchukua maamuzi magumu.
 
mm ni mwalimu nipo mbeya mjini anayetaka tubadilishane nae kituo cha kazi mimi nije ilala dar es salaam idara ya secondary. aliye interested nitafute kwa no hii 0753692508 au 0713130550 unaweza ni pm.pia
 
nipo MUSOMA idara ya msingi NATAKA pwani,dar,morogoro,tanga,dodoma,lindi
# 0753629314 au 0785077035
 
Back
Top Bottom