WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Njoo moro goro aje mbeya idara ya Secondary check this no 0718369467 au ata uKija moro yeye aje iringa njombe makambako cyo mbaya no iyo iyo

mkuu mimi nipo mbeya wilaya ya chunya,nahitaji kuja morogoro,nicheki pia kwa 0714808196
 
Inamaana chunya kwenye madini ndo hampendi kwenda au,acheni hizo maisha ni pamoja na kujishughulisha na uchimbaji wa madini pia!!!
 
Njoo Songea Manispaa( Songea boys) Mimi nije Ilala au kinondoni Kwa mawasiliano 0715666424.
 
Habari njema...
Mwl njoo kishapu eneo la maganzo jirani na mwanza road,idara ya sekondari ila mdada aje hapo morogoro na wilaya zake.
 
Mwangaruka wasukuma wote waishio morogoro.
Naomba mje kishapu eneo la maganzo jirani na mwanza road idara ya Sekondari ili dada yangu aje hapo kwao morogoro na wilaya zake.
 
Wasumbawanga hamtaki kwenu?? Mjooni sumbawanga v niende dodoma,moro(v) mjn, mvomero, kibaha. Idara sec
 
Mwalim msingi yupo mtwara Nanyumbu anatafuta mwl.wa kubadirishana kutoka ARUSHA MANISPAA,ARUSHA MJINI,BABATI MWANZA ILEMELA AU NYAMAGANA Aliye tayari wasiliana naye 0656569733
0752276626
 
jamani njoo wilaya ya bunga nije morogoro wilaya yoyote,mpwapwa au gairo idara sec
 
Mwalim idara ya msingi yupo Pwani- Mafia anatafuta mtu wa kubadilishana naye kutoka Mbeya
 
njoo MUSOMA
nije PWANI,DAR,MOROGORO,DODOMA,TANGA,LINDI
idara ya msingi
0753629314
0785077035
 
MWL idara SEC yupo MOROGORO-MAHENGE anatafuta MWL mwenzake wa kubadilishana nae kutoka MUFINDI-IRINGA
0713345958
 
kwa anayetaka kuja Dodoma wilaya ya mpwapwa mi niende korogwe mkoan Tanga nichek 0716279047 shule ipo town
 
Back
Top Bottom