Njoo bariadi mjinkwa anaetaka kuja manyara mbulu,mm nije tabora mjin au katavi mpanda, idara sec.nichek 0783689788
Njoo Arusha mimi nije mufindi au nisaidie kutafuta mtu anayehitaji kuja Arusha -meru mimi nije mufindi. Idara msingi Piga 0755543978 au [email protected]
kwa anayetaka kuja Dodoma wilaya ya mpwapwa mi niende korogwe mkoan Tanga nichek 0716279047 shule ipo town
Nataka mwalimu wa kubadilishana toka mwanza wilaya ya ilemela aje dar wilaya ya temeke,tuwasiliane kwa 0768905871
mimi ni mwalimu ninafanya kazi mkoa wa tanga halmashauri ya kilindi ninatafata mwalimu wa kubadilishana nae kutoka halmashauri ya mtwara mjini
mimi ni mwalimu(sec) nipo halmashauri ya wilaya kilindi tanga ninahitaji mtu wa kubadilishana nae kutoka mtwara mjini kwa mawasiliaono nicheki [email protected]
Njoo Kibiti-Pwani mm nije hapo DodomaNipo dodoma manispaa natafuta mwalimu kutoka morogoro manispaa idara ya sekondari
pm please!!!!!
mimi ni mwalimu ninafanya kazi mkoa wa tanga halmashauri ya kilindi ninatafata mwalimu wa kubadilishana nae kutoka halmashauri ya mtwara mjini
Njoo Kibiti,Pwani ww Dumenji.Njoo tanga korogwe nije mbeya-jiji,mbozi,kyela,mbeya v, momba idara sec 0717500519