Elia zakaria
Member
- Dec 1, 2014
- 8
- 0
Mwalimu idara ya msingi nipo Wilaya ya meru mkoa wa Arusha naomba kubadilshana na mwalimu aliye Wilaya za Iringa yaani Kilolo, Mufindi, Manispaa na Iringa vijijini.kwamawasiliano zaidi piga namba 0755543978
Hivi Kigoma-Uvinza ndo hamtaki kuja kabisa?
Nataka nihamie IFAKARA MOROGORO kwa sasa nipo MUFINDI IRINGA idara MWALIMU MSINGI
MAWASILIANO email-([email protected])
njoo dodoma mkuu nije hko mana ndo kwetu