WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Me mwl.msingi nipo Pwan-rufiji natafuta mwl wa kutoka Ilemela au nyamagana mwanza 0759474890
 
Idara sekondary njoo nyanshiimo-busega jiran kbsa na mwanza mimi nije mkuranga,kibaha au kisarawe.mawasiliano 0713007615 au 0768560009
 
Niko Kenya Akauti ya Taveta, anaetaka tu exchange nikuje Mombasa kula embe
 
haya,, hayaaa, we mwlm idara ya msng kutoka mwanza maeneo ya
-ilemela
-nyamagana
-magu
-misungwi na
-sengerema
kama una interest ya klmo na biashara ya mpunga, hii ndo fursa yako pekee ya kuja nyumban/kusogea shy vjjn ili nije sehem tajwa hapo juu, mawasliano 0762600121 NB; huduma mhmu kama maj ya ziwa vctoria, umeme, barabar na usafr, v2o vya afya vpo, FANYA MCHAKATO MAPEMAAAAAAA,,,,,,,,
 
MWL.Msingi yupo kilwa anatafuta wa kubadilishana nae kutoka Wilaya ya Rufiji pwan aliye tayar Awasiliane 0786228078
 
Mimi natafuta mwalimu wa Sec wa kubadilishana nae. Yeye aje Ruangwa mm niende moja kati ya mikoa ya KINONDONI, BAGAMOYO, KIBAHA AU MORO TOWN.

Yeyote anayetokea moja ya sehemu hizo na angependa tubadikishane, tuwasiliane.

NB. Mchakato ukikamilika nitampatia 200000 na atazipokea kwa afisa Elimu- Ruangwa.

Tuwasiliane kwenye INBOX au 0684086635
 
Njoo Kyela idara secondary mm nije Iringa au Njombe,
0714010511
 
acha hzo wewe,kumbe ulikuwa unanizingua tu mwenzio,mapunda hapa naumia sana nikikumbuka
 
Nishachemka na kukata tamaa na hii mambo ya kubadilishana maana cpati mtu. Walimu wa SEKONDARI walopangwa Tanga hawataki kuja KIBITI-RUFIJI, haya kaeni nyie mfaidi lakini huko ni kwetu sie....

aha kijana sitokusahau ,.its mapunds 0764711735 call faster tufanye mambo
 
Nishachemka na kukata tamaa na hii mambo ya kubadilishana maana cpati mtu. Walimu wa SEKONDARI walopangwa Tanga hawataki kuja KIBITI-RUFIJI, haya kaeni nyie mfaidi lakini huko ni kwetu sie....

aha kijana sitokusahau ,.its mapunds
 
wale wa kutoka mkuranga chalinze au kibiti idara sec.wanotaka muheza pigs no.0764711735 faster nimechoka na muheza
 
Mimi nipo tarakea mjini wilaya ya rombo nataka kuhamia halmashaur ya moshi vijijini idara ya msingi,kwa aliye tayar ani pm
 
Back
Top Bottom