WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

nimechokaaaaaaaaa nani kutoka msalala,ushetu,shy vijijini aje meatu idara ya msingi ni pazuri sana wapendwa msikubali kusimuliwa mjionee ni PM au ni check kwa 0719744900
 
Njoo Tarime mji mdogo wa Sirari secondari mimi nije Arusha wilaya yoyote au Babati, Karatu, Hai, Korogwe, au sehemu yoyote unayoijua ni karibu na Arusha. 0752490349
 
Njoo Tarime mji mdogo wa Sirari. Idara ya secondari mimi nije Arusha wilaya yoyote au Babati, Karatu, Hai, Korogwe, au sehemu yoyote unayoijua ni karibu na Arusha. 0752490349
 
Njoo Tarime mji mdogo wa Sirari mpakani mwa Tanzania na Kenya. Idara ya secondari mimi nije Arusha wilaya yoyote au Babati, Karatu, Hai, Korogwe, au sehemu yoyote unayoijua ni karibu na Arusha. 0752490349
 
Njoo Tarime mji mdogo wa Sirari mpakani mwa Tanzania na Kenya. Idara ya secondari mimi nije Arusha wilaya yoyote au Babati, Karatu, Hai, Korogwe, au sehemu yoyote unayoijua ni karibu na Arusha. 0752490349.

Njoo Tarime mji mdogo wa Sirari mpakani mwa Tanzania na Kenya. Idara ya secondari mimi nije Arusha wilaya yoyote au Babati, Karatu, Hai, Korogwe, au sehemu yoyote unayoijua ni karibu na Arusha. 0752490349 unapotokea pawe na Maji, Umeme, Barabara kwani nilipo vitu vyote hivyo vipo.
 
Mwl (elimu msingi) anatafuta mwl wakubadilishana naye aje halmashauri yeyote mkoani Arusha , yeye yupo almashaur ya Ruangwa mkoani Lindi
. no zake 0758779644
 
Habari!! Mwalimu idara ya Sekondari anaetaka kuja Halmashauri ya wilaya ya GEITA mimi nije Dodoma(M), Morogoro---Municipal, Mvomero, Moro-Vijijini, Pwani-Chalinze, Kibaha/Bagamoyo au Mpwapwa. Tuwasiliane #0768-120824 /0786-836316.
 
Natafuta mwl wa kubadilishana nae, niko kilosa-kimamba nataka kuhamia ilala dar. Idara ya S/msingi.
 
Njoo mtwara niende mbeya Iringa morogoro njombe mcng idara
0689976850
 
njoo kasulu idara ya sec nije babat, mbulu korogwe, muheza bahi au mosh mjin
 
Nipo MAGU MJINI MWANZA msingi nataka kwenda Morogoro, Kibaha, Mkuranga au Bagamoyo.0682 279435
 
Njo Singida Iguguno town(mkalama D.C) idara elimu msingi.Nije Korogwe,Muheza,Handen,au Mkinga TANGA.Ncheck pm.
 
Back
Top Bottom