WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Nipo KAHAMA MJI nataka
Kwenda MVOMERO , MORO MANISPAA.MBEYA JIJI, MBEYA VIJIJINI.
 
njoo musoma manispaa idara msingi mi nije Dodoma.arusha.mwanza.Moro.moshi au tanga.(manispaa)0763270623,0714549101.
 
Aje Kigoma halimashauri niende Dodoma;Mvomero;Iringa mcheki kwa namba hii huyu mdau 0754966072
 
kwa mwlm yeyote alye Mwanza nyamagana au ilemela (idara ya msingi), kama una interest ya kufanyia kaz shinyanga vjjn, tubadlshane vtuo 0764316626/0762600121 pia nchek watsaap
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.255684122208
 
Nipo Sikonge -Tabora Natafuta mtu wa kubadilishana kutoka manyara ,kilimanjaro,Tanga, morogoro idara ya secondary mawasiliano 0759016064.
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.255684122208
 
Njoo MOROGORO-MVOMERO nije SINGIDA MANISPAA,
idara ya msingi.
Pm, call/sms 255766628492.
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.255684122208
 
Njoo mtwara(m) manispaa nije mwanza, sengerema, geita au chato. idara sekondari. mawacliano 0652620272
 
ANAYETAKA KUJA IKWIRIRI RUFIJI karibu kbs na DAR ES SALAAM masaa mawili tu .....mimi niende mwanza jiji au kahama mji idara ya secondary anitafute kwa 0719198411
 
njoo kilwa-masoko,,idara ya secondary.dogo aje Dar,MKURANGA,KIBAHA au bagamoyo
 
Back
Top Bottom