kwa mwlm yeyote alye Mwanza nyamagana au ilemela (idara ya msingi), kama una interest ya kufanyia kaz shinyanga vjjn, tubadlshane vtuo 0764316626/0762600121 pia nchek watsaap
ANAYETAKA KUJA IKWIRIRI RUFIJI karibu kbs na DAR ES SALAAM masaa mawili tu .....mimi niende mwanza jiji au kahama mji idara ya secondary anitafute kwa 0719198411