njoo arusha ngoro ngoro na mimi nije tanga au morogoro mjini. idara Secondary. 0755707867
 
njoo arusha ngoro ngoro na mimi nije tanga au morogoro. idara secondary. 0755707867
 
njoo arusha ngoro ngoro na mimi nije tanga au morogoto. ifara secondary. 0755707867
 
Ebana inachokesha tangu mwaka juz sioni mwl.NGOJA NIJARB TENA
NJOO MKALAMA DC.SINGIDA nije Korogwe mji/v handeni,Mkinga, Tanga "v" au "M" na mwingine anatokea USHETU -KAHAMA SHY anahitaji kubadilisha Na mwl kutoka sehem tajwa hapo juu MKOANI TANGA.Wote Idara elimu mcng.PIGA AU SMS TO 0684711818.
kwa aliye tayar.
 
ANAHITAJI KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI.
Mahali halipo sasa: Halmashauri ya Bumbuli lushoto.
Anapotaka kwenda: Mkuranga, kibaha, kisarawe, Bagamoyo na Dar.
Idara: Shule za msingi
Pamoja tulijenge Taifa letu.

njoo singida.
 
Mwl yupo Kagera anatafuta wa kubadilishana kutoka mikoa ya
Rukwa
Mbeya
Njombe
Iringa
Morogoro
Ruvuma
Idara mcng
.0689976850
 
Njoo Lushoto, nije Muheza, Korogwe, Tanga jiji, Kibaha, Kisarawe, Dodoma manispaa. Elimu sekondari. 0683436242
 
Njoo bukoba nije iringa....morogoro....katavi...singida..
Idara elimu sekondari. 0757180903
 
Kuna mwalim yupo mwanza, maspaa ya ilemela anatafuta wa kubadilishana kutoka dodoma manispaa…elimu ya msingi
 
Njoo sikonge nije wilaya yoyote mbeya..idara ya secondary
0765480855
0752082833
 
Twendeni Tukaombe Waajiri Wetu Jamani Kwani Kwa Hali Ya Kusubiri Wa Kubadilishana Cyo Leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…