Njoo Bumbuli Tanga, nije Kilosa, Kibiti, Moro, Mkuranga, Kibaha, Rufiji au Kinondoni.
Msingii.
SMS 0656025499 au ni pm.
 
Mwl toka Tarime idara msingi anataka kuja Moro, Lindi na Mtwara. Nicheki 0715134420, bahati haiji mara mbili.
 
jamani mi nipo manispaa ya kigoma, secondary, yeyote anaye taka tubadilishane kutoka Moro, Iringa, Njombe au Mbeya aniicall no 0753078600.
 
Mwl yupo Rukwa anatafuta wa kubadilisha kutoka mikoa ya
Mbeya
Njombe
Makambako
Iringa
Morogoro
Idara mcng
0689976859
 
Njoo mbeya wilaya ya rungwe nije tanga idara mwl msingi no 0752943198
 
mwalimu msingi nataka mtu aliyeko mbeya mbaliz,mbozi,kyela yey aje tabora wilaya ya uyui
 
Mwalimu njoo kilimanjaro wilaya ya rombo nije mwanza wilaya ya magu,misungwi,ilemela au nyamagana niko serious nitafute tuanze mchakato january tuhame,contact 0769 737386.mjulishe na mwenzio tudaidiane idara ya secondary.
 
Mwalimu njoo kilimanjaro wilaya ya rombo nije mwanza wilaya ya magu,misungwi,ilemela au nyamagana niko serious nitafute tuanze mchakato january tuhame,contact 0769 737386.mjulishe na mwenzio tudaidiane idara ya secondary.
 
Mwalimu njoo kilimanjaro wilaya ya rombo nije mwanza wilaya ya magu,misungwi,ilemela au nyamagana niko serious nitafute tuanze mchakato january tuhame,contact 0769 737386.mjulishe na mwenzio tusaidiane idara ya secondary.
 
yuko singida
Iramba kiomboi mjin shule ya msingi kiomboi bomani
nataka kwenda morogoro,pwan na tanga.
nibeep kwa namba hii au tuma sms 0717325621 changamka ameamua huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…