Njoo masasi nije bagamoyo,pwani,ama morogoro idara msingi contact zangu ni 0714031797
 
Njoo mbeya vijijin nije manyon,itigi,dodoma municipal au singida mjini! contact 0764118282 ispopatikana acha sms
 
Mi ni mwalimu wa sekondari nipo halmashauri ya Geita natafuta mtu wa kubadilishana mi niende Iringa mjini yeye aje Geita. nina miaka 3 kazini details zote ninazo.
 
idara secondary njoo wilaya ya handeni nije
mkuranga
kibaha
bagamoyo
kisarawe.
temeke
ilala.
kinondoni
nichek kwa..
0786475050
0715475050
 
oo Arusha DC nije morogoro manispaa.idara sekondari.nafundisha ilboru sec. Mawasiliano 0764776655, au 0658221998
 
idr sec, njoo Singida town nije mbeya, iringa au njombe wly yoyote, 0759003031
 
niko kahama halimashaur ya mji nahitaji kwenda kwetu GAIRO,MVOMERO,AU MORO MANISPAA
 
 Kwa mwalimu yeyote wa sekondari aliye mkoa wa mbeya wilaya yeyote ile anayetaka kuja wilaya ya kwimba-mwanza, naomba uni "pm" au tuwasiliane kwa namba zifuatazo:

0759 92 98 61 au 0763 24 36 24

au 0788 98 35 97
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…