Njoo Lushoto Tanga idara ya msingi nije Same,
Moshi Mjini, Moshi Vijijini, Hai, Rombo.
0758121353, 0717690221, 0684533627.
 
Njoo Lushoto Tanga idara ya msingi nije Same,
Moshi Mjini, Moshi Vijijini, Hai, Rombo, Siha.
0758121353, 0717690221, 0684533627.
 
Njoo maswa simiyu nije ruvuma, iringa au mbeya.... idara ni sokondari....
mawasiliano
0754879512 / 0655879512
 
oo Arusha DC nije morogoro manispaa.idara sekondari.nafundisha ilboru sec. Mawasiliano 0764776655, au 0658221998
 
njoo TANGA kilindi nije muheza...korogwe mkinga...lushoto...tanga mjini...kibaha...bagamoyo...kisarawe...mbeya mjini...rungwe...iringa mjini....idara sekondari...tuwasiliane kwa 0686 973 854
 
Mimi mbona nipo tayari kwenda hapo Arusha vijijini/Arusha dc kama mdau huyo angekubali kuja Singida ambapo ni karibu na Moro

jamaa anataka Morogoro jamani mpeni msaada. Au atumie plan B kama ni kwa ajili ya jambo ambalo lipo sensitive.
 
Mi ni mwalimu idara ya secondari naomba kubadilishana kituo cha kazi mimi nije mbeya;pwani wilaya yeyote; tanga na arusha na yeye aje biharamulo kagera shule iko kwenye juction ya kwenda rwanda na bukoba kilometa 30 mpaka biharamulo mjini number yangu ni 0764841249
 
njoo songea DC mkoa Wa ruvuma nije mbeya au mkoa mpya Wa songwe idara ya sekondari tuwacliane kwa namba 0757319212
 
jamaa anataka Morogoro jamani mpeni msaada. Au atumie plan B kama ni kwa ajili ya jambo ambalo lipo sensitive.

Daah Moro town pana competition mnooo!!!Wengi sana wanapapenda!!
Nakumbuka hata kipindi tupo chuo tunajaza mikoa tunayotaka kufanya kazi wengi saana waliichagua Moro!!
Mara nyingi mabadiliko hua ni
Moro town to dar
Mwanza mjini(ilemela/nyamagana) to Moro..

Aendelee tu kutafuta hivyohivyo .asikate tamaa...

Mipia bado nafayt daily I hop one day nitafanikisha tu...
 
niko wilaya ya mpwapwa nahitaji kubadilishana na mwalimu wa manispaa ya dodoma au wilaya ya chamwino idara ya msingi. MAWASILIANO 0712714371, 0686676246
 
mwalimu yeyote anayohitaji kubadilishana yeye aje mpwapwa mimi niende dodoma mjini au wilaya ya chamwino(idara ya msingi) mawasiliano 0712714371 ,0686676246
 
mwalimu anayehitaji kubadilishana mi nije dodoma mjini au wilaya ya chamwino ( idara ya msingi) mi niko mpwapwa 0712714371 au 0686676246
 
Njoo mbeya wilaya ya rungwe nije tanga idara mwl msingi no 0752943198
 
NJOO NEWALA MJI NAMI NIJE MBEYA WILAYA YOYOTE ILE.NICHECK KWA 0788399369/0765816326.Idara ni elimu sekondari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…