Daah Mi nishakata tamaa wazee..Nimetafuta mnoo mtu wa kubadilishana nae lakini naona ishashindikana labda hadi kusubiri wa Ajira mpya za 2016 huku nikitafuta mbinu mbadala ya kuhama...
Ni wachache sana wanabahatisha watu wa kunadilishana nao humu jukwaani..
Mwl Niko Kagera idara msingi ninatafuta wa kubadilishana kutoka mikoa ya
Tabora
Rukwa
Mbeya
Katavi
Njombe
Iringa
Morogoro
Songea
Dodoma
Pwani
Dar
Mwanza
Njoo nachingwea lindi mimi nije moja wapo sehem zifuatazo mbeya vijijin au jiji, mbozi, mbarali, rungwe, kyela, iringa, njombe, songea, idara ya msingi 0718294989 au 0786211063