martin kadenge
Member
- Dec 29, 2015
- 89
- 1
Yupi sasa katika wote hao hapo juuDah! Nafuu niliitafuta sana hii nafasi ya kurudi home. Hebu ni PM faster tubadilishane mkuu.
Njoo Ukerewe nije Muleba
Njooo Dodoma manispaa nije iringa manispaa idara secondary 0752476598
Njoo Iringa nije mpanda elimu msingi call 0759739229 now.
Njoo Babati mjini mimi nije Dodoma mjini, idara ya elimu secondary, mawasiliano ni 0765185975
Nani aku PM fasterDah! Nafuu niliitafuta sana hii nafasi ya kurudi home. Hebu ni PM faster tubadilishane mkuu.
Wote wanahusika. Nitakuwa kila sehemu nakaa kwa mwezi mmoja alafu nahama....ninaposema nyumbani namanisha Tanzania nzima ni home mkuu.Yupi sasa katika wote hao hapo juu
Atakayekuwa wa kwanza kuni PM ndo mhusika mkuu.Nani aku PM faster
Hiyo degree ni yann sasa au ndo atahama haraka..acheni kuringaMwalimu Khadija(sekondari, degree) anatafuta wa kubadilishana nae kituo, yupo Kiteto anahitaji kwenda Tanga mjini kuungana na familia yake. Kwa anaetaka kuja Kiteto awasiliane nae kupita email. kadogoo2@gmail.com.