Mimi ni mwl msingi nipo mbeya tukuyu natafuta mwl aliye korogwe tubadilishane vituo vya kazi
cont:- 0752588522,/ 0653588522
 
Njoo iringa dc mimi nije pwani wilaya ya mkuranga, kisarawe, bagamoyo, kibaha... Na rufiji idara sec 0653795210
 
....jaman natafta mwl. Wa kubadilishana nae...aje rukwa sumbawanga me niende...

Tanga, arusha. Kilimanjaro singda au manyara.....idara sec 0763 240 278
 
Mwl yupo Rukwa idara msingi anatafuta wa kubadilishana kituo cha kaz na walimu mliopo mikoa ya
MBEYA
Njombe
Iringa
Morogoro
Ruvuma
Dar
Pwani
0689976850
 
Mwl yupo Tabora wilaya ya Uyui idara mcng anatafuta wa kubadilishana aende
Rukwa
MBEYA
Njombe
Iringa
Morogoro
Pwan
Dar
Dodoma

0689976850
 
Mwl yupo masasi (mtwara) idara ya sec anatafuta wa kubadilishana naye kutoka Iringa mjini, na wilaya zake zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…