Arusha mjini hutaki?
NJOO KATAVI JIRANI NA MBEYANjoo arusha niende mbeya
NJOO KATAVI JIRANI NA MBEYANjoo arusha nije mbeya 0762701318
NJOO KATAVI JIRANI NA MBEYAMimi ni mwalimu wa sekondari mkoa wa arusha wilaya ya monduli. Natafuta mtu anaefundisha mbeya ili tubadilishane yeye aje arusha na mimi niende mbeya.
NJOO KATAVI JIRANI NA MBEYA
NJOO KATAVI JIRANI NA MBEYA
Mimi mwalimu idara ya sekondari, natafuta mtu wa kubadilishana kituo cha kazi yeye aje Tanga Jiji nami niende dar es salaam manispaa yeyote..alietayari tuwasiliane na tuanze mchakato mapema.,mawasiliano 0713841863Daaaah malengo ni mbeya ndugu
kuna mwalimu yuko bukoba vijijini,anahitaji kuja uko ukerewe,nitumie msg yenye namba zako nikuunganishe nae 0769027920Njoo Mwanza Ukerewe nije Bukoba manispaa, Misenyi, Muleba au Bukoba vijijini.
Njooo mwanza jiji nije DSM 0757248589Mwl Yupo bukoba vijijini,anatafuta mtu wa mikoa ya pwani,tanga au morogoro...ntumie msg au pm nikuunge nae!0769027920|0656803210