Njoo Arusha DC mm nije MOROGORO manispaa.idara sekondari.nafundisha ILBORU sec.0658221998,0764776655
 
mwal yupo bukoba,idara sekondari,anaomba kubadlshana na walmu wa morogoro,pwani au tanga!0769027920/0656803210
 
Nipo Lindi-Nachngwea idara Secondary, natafuta Mwl wa kubadlshana nae nije Iringa,
Moro
Au Njombe, sababu tatzo la umbali na kutaka kuungana na familia...tafadhal km upo ni PM
 
Mwl Happiness bwele wa shule ya msingi kimiza wilaya ya karagwe..mkoa wa bukoba anatafuta mtu wa kubadilishana nae kutoka Songea,Morogoro,kibaha na dsm...wasiliana nae kwa no...0714482484


Duuh! Wewe ni mwalimu kweli. Kuna mkoa wa Bukoba?
 
Mimi mwl wa idara elimu msingi halmashauri ya rorya musoma natafuta mwl wa kubadirisha nae ktk mikoa na halmashauri zifuatazo korogwe, arusha ,Kilimanjaro wilaya yoyote . mawasiliano 0759735726
 
njoo musoma dc nije mbeya,ruvuma,njombe,iringa wilaya yoyote.idara sekondari.0755693789
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…