Njoo musoma dc mimi nije kilimanjaro wilaya yoyote arusha wilaya yoyote au tanga wilaya yoyote idara sec 0659873670
 
0687 236219 huyu jamaa ni mwinz wa humu anajiita Elisha Majaliwa email yake ni elishamajaliwa@gmail.com anapga cm ananiambia nimpe laki 4 anihamishe nimempa namba ya askari m1 nkamwambia ndo ananifanyia mchakato wa kuhama na ndo anatoa hzo ela wametafta location yake na mda c mref anaingia mikonon mwa sheria....kama kuna mtu atapgiwa cm me naomba anipe namba ya huyo tapeli waingie mikononi mwa makofuli.....asanten
 
MWALIMU yupo MASWA SIMIYU anahitaji mtu wa kubadilishana naye tokaa MBEYA wilaya yoyotee IDARA YA SEKONDARI contact 0756945368
 
Nina rafiki yangu yupo dodoma wilaya ya Bahi... Anatafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi mkoa ruvuma, wilaya ya songea mjini
 
Mwalimu Secondary nipo KILIMANJARO nataka kubadilishana na Mwalimu kutoka IRINGA, Tuwasiliane kwa namba 0759 968318
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Morogoro
Pwani Wilaya yoyote sekondari! 0758165769
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Morogoro
Pwani Wilaya yoyote sekondari! 0758165769
 
Njoo Ngara - kagera Nije
Arusha
Kilimanjaro
Manyara
Tanga
Morogoro
Pwani Wilaya yoyote sekondari! 0758165769
 
NJOO kilosa-Morogoro
NIJE ilemela au nyamagana-Mwanza
IDARA sec.
0718412841
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…