Npo Mbulu manyara naitaj mwl w kubadilishana kituo cha kazi kutokea arusha jij, dc, mosh vijijn, siha, hai, kibaha, chalinze, mlandiz, or dar es salaam idr y msing 0764910615
Mwalimu njoo Singida nije Arusha wilaya yoyote au Kilimanjaro ..Shule ipo karibu na Halmashauri,,barabara ya Lami,,Umeme,maji na hata ofisi ya mkuu wa wilaya ipo jirani ....Lengo niwe karibu na familia yangu niweze kuihudumia vizuri ..idara sec 0769591585