Una muda gani kituo unachotaka kuhama?Mimi ni mwalimu nnayefundisha wilaya ya same mkoa kilimanjaro. Natafuta mwalimu wakubadilishana naye, yeye aje same mimi niende kati ya morogoro, pwani au dar, masomo yangu ni history na kiswahili, mawasiliano:0718893304 au 0753235925