Mimi ni Mwl idara ya sec. Nipo morogoro DC nahitaji nahitaji kubadilishana na mwalimu aliyeki mkoa wa mwanza ( wilaya ya Ilemela/Nyamagana)
Mimi mwlm wa shule ya sekondari Kayenzi iliyoko Manispaa ya Morogoro natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje Manispaa ya Morogoro mimi niende Manispaa ya Temeke mkoani Dar. Nina miaka saba kazin nina TSD na nimethibitishwa kazini. Mwenye interest tuwasiliane pleas
Kaka nisaidie kama kuna mwalimu unamjua yupo Moro manispaa niconnect aje tanga jij.sec.0713142568Mimi mwlm wa shule ya sekondari Kayenzi iliyoko Manispaa ya Morogoro natafuta mwl wa kubadilishana nae yeye aje Manispaa ya Morogoro mimi niende Manispaa ya Temeke jijini Dar. Nina miaka saba kazin nina TSD na nimethibitishwa kazini. Mwenye interest tuwasiliane pleas