Natafuta Mwalimu wa kubadilishana nae.
Mimi n mwalimu wa secondary niliyepangiwa mkoani Tanga wilaya ya Lushoto, natafuta Mwalimu mwenzangu ambaye naweza nikabadilishana nae kutoka mkoa wa Dar-es-salaam wilaya yoyote ikiwemo mkoa wa bagamoyo pia.
Tafadhali naomba tuwasiliane kwa nambari hizi zifuatazo: 0713027219.
Naomba ushirikiano wenu wana jamiiforum,wadau na wana jamii wengine kwa ujumla.
Natafuta Mwalimu wa kubadilishana nae.
Mimi ni Mwalimu wa sekondari niliyepangiwa mkoani Tanga wilaya ya Lushoto, natafuta Mwalimu mwenzangu ambaye naweza nikabadilishana nae kutoka mkoa wa Dar-es-salaam wilaya yoyote ikiwemo mkoa wa bagamoyo pia.
Tafadhali naomba tuwasiliane kwa sms hapa katika forum.
Naomba ushirikiano wenu wana jamiiforum na wana jamii wengine wote pia.
Habari wadau. Naitwa Mwl HUSSEIN SAID idara ya Secondary, niko Mkoani Njombe Wilaya ya Makete eneo la Ikonda centre. Natafuta mtu wa kubadilishananae aje huku niende mikoa ifuatayo:
1. Arusha
2. Kilimanjaro
3. Babati - Manyara
Mawasiliano.
0766 835725/0655 835725/0687 684805 Nahitaji ushirikiano wenu.
Kuna Mwalimu yuko Mara wilaya ya Butiama anataka mtu wa kubadilishana nae yeye aende mkoa wa Kilimanjaro wilaya yoyote
Yeye yupo idara ya Sekondari na ana muda mrefu TSD na nyaraka zote zipo.
Kwa mawasiliano zaidi tuma ujumbe wa pm nitamfikishia mlengwa!!