junior tbt
Member
- Mar 17, 2016
- 19
- 4
IDARA GAN BWASHEEEENIPO MBEYA HALMASHAURI YA RUNGWE, NATAFUTA WA KUBADILISHANA NAE AJE RUNGWE NIHAMIE ARUSHA
Njoo mwanza wilaya ya sengeremaTUBADILISHANE. Njo Mtwara-Newala nami nije mkoa wa MBEYA.
wilaya ya;
1. Mbeya mjini
2. Mbeya vijijini
3. Rungwe
4. Mbozi
Idara ya sekondari.0759410327{voda} au 0672109757{tigo}.
Ndugu nataka kwenda mbeya. LABDA TUTAFUTE MTU WA KUTOKA MBEYA KUJA SENGEREMA.Njoo mwanza wilaya ya sengerema
Pwani uje mafia
SOGEA SINGIDA MKUU NI JIRANI NA MOROGORO
ifakara mkuu ndio kusudio languSOGEA SINGIDA MKUU NI JIRANI NA MOROGORO
Ahaaa Ahaaa....!!!Duu hii noma mikoa mingine ukipangiwa nikama wamekutupa hatauombe kubadilishana watu utadhani hata hawasomi post yako vile. Wengine humu wanaomba kubadilishana tanguzi ( thread) ianzishwe October 28. 2012 hawajapata bado mpaka leo.