Mr Adam Gella
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,327
- 664
mi nipo,nipatie hiyo tenda mwalimuNatafuta mtu anaeweza kuprint cheti malipo mazuri
Ni pm kama uko seriousmi nipo,nipatie hiyo tenda mwalimu
Njoo meatu simiyu ndugu karibu na mwanza nauli elfu 10 tundugu walimu naomba kama kuna mwl yoyote anayeitaji kubadilishana mi nije mwanza yeye aje morogoro tuwasiliane IDARA SEC mawasiliano 0684219696/0714453269,mjuze na mwenzako
Waambie waje MPANDA ni karibu na kataviMWALIMU NJOO SINGIDA NIJE ARUSHA WILAYA YOYOTE;
ARUSHA JIJI
ARUSHA VIJIJINI(arusha dc)
MERU DC
IDARA SEC,,0769 591585
Mwisho wa kushughulikia process za uhamisho ni mwezi wa 5
hivyo siku ni chache wahi tubadilishane vituo vya kazi!!mwezi wa 7 vibali hutolewa!!
PIA KUNA WATU WAWILI WA ARUSHA DC WANATAKA KWENDA SUMBAWANGA ,,NA MWINGINE ANATAKA RUNGWE MBEYA IDARA SEC KAMA.UPO.NICHEKI NIKIUNGANISHE NAE!!
Mpanda karibu na sumbawangaMWALIMU NJOO SINGIDA NIJE ARUSHA WILAYA YOYOTE;
ARUSHA JIJI
ARUSHA VIJIJINI(arusha dc)
MERU DC
IDARA SEC,,0769 591585
Mwisho wa kushughulikia process za uhamisho ni mwezi wa 5
hivyo siku ni chache wahi tubadilishane vituo vya kazi!!mwezi wa 7 vibali hutolewa!!
PIA KUNA WATU WAWILI WA ARUSHA DC WANATAKA KWENDA SUMBAWANGA ,,NA MWINGINE ANATAKA RUNGWE MBEYA IDARA SEC KAMA.UPO.NICHEKI NIKIUNGANISHE NAE!!
Ngorongoro vpMWALIMU NJOO SINGIDA NIJE ARUSHA WILAYA YOYOTE;
ARUSHA JIJI
ARUSHA VIJIJINI(arusha dc)
MERU DC
au KILIMANJARO,,,TANGA!!
Idara sec,,0769591585
Aje MPANDA. Jirani na kigomaNjoo dar wilaya ya kinondoni aje kigoma manispaa,