Tafadhali uliye tayari njoo Ilala-Dar es Salaam , mimi nije Ilemela Mwanza!! Tafadhali namaanisha Wilaya ya Ilemela na si Nyamagana. Please kwa Uliye tayari tuchekiane kwa. 0754 485 463
Male Eagle, Tanga Halmashauri gani? Hebu njoo hapa Geita ni karibu na kwenu nami nije Tanga karibu na kwetu. Kama uko interested kesho tuanze mchakato angalau mpaka July uwe karibu na kwako.