Cute Msangi
Member
- Apr 11, 2023
- 79
- 226
Hope ni wazima Wana Jf
Katika kila kundi la wanawake 10,lazima ukute wanawake 5 au 6 washawahi kufanyiwa sexual abuse na walimu wa kiume,Kuna shule sitaitaja nilisoma o level Kuna teacher wa English na alikuwa second master alikuwa na michezo michafu anakuita ofisini kwake Mara akushike shike story nyingi ataongea hapo za upuuzi tu,
Tulipeleka malalamiko yetu kwa mkuu wa shule haikusaidia kitu Kama alikuwa anamtetea na kutusema sisi wanafunzi wa kike tumeanza umalaya.i hate head master.
Ukiona binti yako aharibika chazo ni Hawa walimu wa kiume Wana tamaa Sana ya ngono kwa wanafunzi wao.
Sio wote wenye vitendo hivyo