Walimu/ lecturer wa kiume ndo chazo cha kuharibika kwa mtoto wa kike shuleni/chuo

Walimu/ lecturer wa kiume ndo chazo cha kuharibika kwa mtoto wa kike shuleni/chuo

Mlete mada. Poleni sana. Bahati mbaya wengi hawajui sexual violence. Yaani victims hawathaminiwi. Pole. Ungemtaja tu
 
Aliyekutoa bikra bila kukuoa. Huyo ndo amekuharibu na kuua future yako yakupata Mwanaume smart

Lecture hawezi kuomba ngono kwa demu bikra anajua huyu bitch Basi nayeye anapita umo umo.


Wanaume hawakui kihisia ni kweli lakini ukikaa kimalaya lazima yakutokee then Chuoni Kuna wanafunzi let say 20k na lecture hawazidi hata 400 so unataka kusema wanawake wote mnaojiuza chanzo mlianza kutombwa na malecture ur logic is too sadic
Dah agiza soda nakuja kulipa
 
Hope ni wazima Wana Jf

Katika kila kundi la wanawake 10,lazima ukute wanawake 5 au 6 washawahi kufanyiwa sexual abuse na walimu wa kiume,Kuna shule sitaitaja nilisoma o level Kuna teacher wa English na alikuwa second master alikuwa na michezo michafu anakuita ofisini kwake Mara akushike shike story nyingi ataongea hapo za upuuzi tu,

Tulipeleka malalamiko yetu kwa mkuu wa shule haikusaidia kitu Kama alikuwa anamtetea na kutusema sisi wanafunzi wa kike tumeanza umalaya.i hate head master.

Ukiona binti yako aharibika chazo ni Hawa walimu wa kiume Wana tamaa Sana ya ngono kwa wanafunzi wao.

Sio wote wenye vitendo hivyo
Sasa hapo umeandika nn?
 
Sekondary hizi hasa za A level visichana ndio vinagongwa kweli kweli na walimu wao
 
Tupunguze kuwaambia watoto elimu Yako ndio maisha Yako, hii inachangia watoto kufikiri nikimnyima ticha hapa ndio ntakuwa nimeharibu maisha, mwambie tuu mwl akikusumbua mkatae, shule nyingi ntakutafutia,

University , mwambie matajiri wengi Wana elimu za kawaida, na waliosoma wengi hawatumii taaluma zao kwenye bzness, lecture akikutaka mkatae,akikulazimisha mreport, usiposikilizwa Rudi nyumbani , ujue bahati Yako Iko kwingine sawa mama/Binti yangu(with love)
Unafanya mchezo na Supp mkuu 😂😂 atachezeshwa hadi atoe utelezi and trust me atatoa tu
 
Back
Top Bottom