Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Kuna milofa ipo kazini miaka zaidi ya kumi ila daraja limepanda Mara moja tu na bado linafundisha mpaka jumapili
 
Fala wewe
 
Umeamua kutafuta kipozeo cha ile mada yako upunguze machungu, ni kweli waalimu ni waoga lakini kwanini uwashambulie kinafiki hivyo?, kuna siku walishawahi kuja kuomba unga kwako? Kwanini usiache waishi maisha yao?.
 
Aisee pole sana kwa mateso unayopitia.
 
Walimu wanaajiliwa kama failure yaani waliotemwa kwenye mchujo wa kila ndoto zao, sasa unategemea wawe na utimamu wa kuhoji haki zao?
 
Umeamua kutafuta kipozeo cha ile mada yako upunguze machungu, ni kweli waalimu ni waoga lakini kwanini uwashambulie kinafiki hivyo?, kuna siku walishawahi kuja kuomba unga kwako? Kwanini usiache waishi maisha yao?.
Kila kusudi huthibitika kwa kushauriana; Na kwa shauri la akili fanya vita.

Mithali 20:18
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…