Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Hata ungekuwa wewe,huwezi kufanya lolote kapuku weweKwa kuwa ndio vinara wa kuisukumia CCM madarakani wanapaswa kushindia mavi ya dagaa wala siyo hao dagaa
Hao walimu wenzangu wanauishi ukweli kuwa hakuna mtu wa kuitoa CCM madarkani hata wangekuja manesi,madaktari,polisi au jwtz
Hata ungekuwa wewe na wenzako million,hakuna kenge wakuitoa CCM madarakani