Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Kwa kuwa ndio vinara wa kuisukumia CCM madarakani wanapaswa kushindia mavi ya dagaa wala siyo hao dagaa
Hata ungekuwa wewe,huwezi kufanya lolote kapuku wewe

Hao walimu wenzangu wanauishi ukweli kuwa hakuna mtu wa kuitoa CCM madarkani hata wangekuja manesi,madaktari,polisi au jwtz

Hata ungekuwa wewe na wenzako million,hakuna kenge wakuitoa CCM madarakani
 
We jamaa uwe unaheshimu kazi za watu.

Kama wasingekuwa hao waalimu kujitolea kukufundisha mpaka ukajua kuandika hiki kiswahili Wala usingekuwa na uwezo wa kuja humu na kuandika hizo pumba zako.

Hizo chuki unazoendekeza kwa waalimu haziwezi kukuongozea faida yoyote tofauti na kukufanya uonekane mjinga Zaidi mbele za watu.
 
We jamaa uwe unaheshimu kazi za watu.
Kama wasingekuwa hao waalimu kujitolea kukufundisha mpaka ukajua kuandika hiki kiswahili Wala usingekuwa na uwezo wa kuja humu na kuandika hizo pumba zako...
Tatizo naona comment za wadau kuwa jamaa ni shoga hili
 
Asikuumize kichwa huyo pungazeze
 
Alokwambia dagaa wanakula maskini nani? Dagaa ni chakula bora kuliko nyama mdogo wangu acha ujinga
 
Nimecomment bila kuangalia uzi nani kaanzisha. Kumbe wewe usie na linda
 
Huyo ni maskini,angekuwa tajiri asingeposti huo ujinga ndiyo shida za kuishi uswekeni,tajiri akila dagaa anamaintain,ila akila maskini kama mpwayungu village ndiyo inakuwa umasikini

Kisikolojia hapo tayari tushajua kuwa mleta post ni kapuku mtoa ukurutu
Alokwambia dagaa wanakula maskini nani? Dagaa ni chakula bora kuliko nyama mdogo wangu acha ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…