Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Hahaaaaa, Ila Mpwayungu akili zako ni kama za Kidagaa
 
Mkuu nishakwambia wanaume tukiwa tunaongea kaa kimya bana pia wanawake wakiwa wanaongea kaa kimya kabisa because you are not belong to either two groups kuna wenzako wanaandamana huko subiri muanzisha uzi wenyu
 
Mkuu nishakwambia wanaume tukiwa tunaongea kaa kimya bana pia wanawake wakiwa wanaongea kaa kimya kabisa because you neither belongs to two groups kuna wenzako wanaandamana huko subiri muanzisha uzi wenyu
 
Mama Samia kuwa wa mfano Kwa kuwainua walimu Tanzania,utakua umesaidia vijana wengi kupata ajira,kuiboresha elimu,kusaidiwa jamii kiuchumi watatuma pesa nyumbani na kupunguza ugumu wa maisha Mwenyezi Mungu akusimamie katika hili Amin(Na iwe hivyo).
 
Wanapitia magumu sana
  1. Mshahara 700,000 kwa mwezi
  2. Nyumba ya kuishi mume, mke na watoto 200,000 kwa mwezi
  3. Nauli kwenda na kurudi kazini 100,000 kwa mawezi
  4. Ada za watoto
  5. Maji
  6. Umeme
  7. Chakula
  8. Mavazi
MWisho wa mwezi ana -ve balance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…