Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Kumbe kada zingine mna posho za safari, na bado huenda mnaiba, wavivu makazini na wazembe lakini mwalimu kupewa nafasi ya kusimamia uchaguzi na kuchukua "rushwa" mnamuona wa hovyo. Mbona kama wote mpo kapu moja tu hakuna tofauti.

Maana yangu ni hii, tanzania imejaa watu wenyw njaa tu, haijalishi engineer, daktari wala mwanasheria, wengi ni wa tu wa 10% tu, usitake kujificha kwa kivuli cha "kuna kada zinajielewa"!
 
Ahahaaah

Utajificha kwenye changamoto za walimu mpaka lini!?

Usipobadilika utazidi kuumbuka maana unawapa watu sababu ya kukuchimbua zaidi

Kuumbuka sana ilo
Utapata tabu sana nanitawapiga za uso mpaka mjinyee
 
Toka huko kwenye ualimu utakufa njaa wewe
 
Hao ndio huwa wana zaidi ya mil 200 kabla ya kustaafu basi sawa.
🤣🤣🤣Tena Wana hizo milioni 200 zinazotokana na mshahara tu na posho, bila kujishughulisha na shughuli nyingine🤣🤣🤣🤣
Tatizo la Mpwayungu ni Ile aina ya walimu wasiotaka kujishughulisha, wanasubiri tu mwisho WA mwezi huku Kazi Yao kubwa kukaa vijiweni kumteta mwalimu mkuu🤣
 
Uchaguzi hata ungepewa wewe na familia Yako msimamie CCM tutashinda tu
Akili kama za kwako ndo zinaakisi akili za walimu wengi.

Mkipewa vitisho tu tayari mnaogopa ndo maana mnatandikwa hadi bakora na wakuu wa wilaya kwakuwa hamjitambui.

Ni kada gani nyingine tofauti na ualimu mkuu wa wilaya anaweza kumtandika mtumishi bakora hadharani?

Kila mtu anajua sehemu ya kutolea stress ni kwa walimu sasa unategemea nini hapo?
 
Wako wengi sana
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji119]
 
Endelea kujidanganya ndugu mwalimu.
 
Nakwambiaje Kwa real field experience

Uchaguzi hata ungepewa wewe na mpwayungu village msimamie hakuna watung'oa madarkani
 
Sasa nadhani unakasoro ndugu! Mwalimu kulawiti haimanishi ni walimu wote.

Kuna mapadre na mashehe wamewahi kuripotiwa kufanya hivyo, je ni mapadre na mashehe wote wanalawiti? Umekosa mvuto kabisa!!

Uongozi wa JF kulea mtu huyu anayedhalilisha kada kubwa na muhimu katika taifa hili(walimu) naamini haiko sawa.

Ni wakati muafaka akaonywa, ili atafute njia sahihi ya kufikisha malalamioko yake kwa nidhamu.

Ni kweli walimu wamedharauliwa na mamlaka kadhaa kutokana na jinsi wanavyotumiwa bila uwiano wa malipo, hii isiwe sababu ya kuhalalisha kila raia wa nchi hii amnange mwalimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…