ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Kumbe kada zingine mna posho za safari, na bado huenda mnaiba, wavivu makazini na wazembe lakini mwalimu kupewa nafasi ya kusimamia uchaguzi na kuchukua "rushwa" mnamuona wa hovyo. Mbona kama wote mpo kapu moja tu hakuna tofauti.Ni kweli hizi kada hakuna masihara mkuu maana wanajitambua.
Sasa mwalimu hana posho ya kazi wala posho ya safari ama posho yoyote ile na bado anatumika kukata viuno kwenye chaguzi huku kada zingine zikiheshimiwa kwa kutofanyiwa udhalilishaji huo.
Eti ikifika nyakati za uchaguzi wakipewa ile kazi ya kuandikisha wapiga kura na kulipwa tulaki kadhaa basi wao wanaona bonge la heshima na kuthaminiwa kumbe lengo ni kuwatumia walimu kwakuwa hawana gharama kubwa tofauti na kutumia kada zingine ambazo zitadai maslahi makubwa.
Maana yangu ni hii, tanzania imejaa watu wenyw njaa tu, haijalishi engineer, daktari wala mwanasheria, wengi ni wa tu wa 10% tu, usitake kujificha kwa kivuli cha "kuna kada zinajielewa"!