Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Mwalimu koma nikome! Achana na mimi, hatuwezi vumilia vitendo vya ulawiti Kwa watoto wadogo ima wakubwa.
 
Huyu ni mwalimu anayejichukia

Relax mkuu,tutamnyoosha tu,ata usiite mods,watuachie huyu mpwayungu village tunamweza
 
Ila unawatesa sana waalimu.... Na omba wasiwajue wstoto wako..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wapo kibao tu binafsi nawafaham kma wanne hivi wapo mkoa wa katavi

No waliku poa wafanya biashara na wakulima wakubwa tu

Na kitu kingine
Usiwachukie sana walimu
Manake kikawaida hakuna mtumishi wa kuwa na milion 200 kwa acc either awe mfanya biashara pia au nje ya mshahara au awe kiongozi wa juu

Awe polis
Awe jwtz
Awe magereza
Awe usalama
Awe halmashaur
Awe wizaran
Awe mkoan
Ngazi ya kata
Au kijiji

M200 awe mwizi au mfanyabiashara ni inawezekana
 
Mpwayungu mwenyewe kwa mandishi yake amekiri wazi anatamani kuwa mwanamke, huyu ni chizi tu!!
Huyo alilawitiwa akiwa mtoto


Hivyo Bado ana Ile psychological torture

Na kama haitoshi akangukia katika fani ya wale waliomlawiti hivyo nafsi yake ipo kwenye conflict kukubaliana na ukweli

Ndo maana unaoana hizi psychological self projection haziiishi humu
 
Hao wote Hana shida nao

Hao wote hawakumlawiti wakati angali mdogo

Yeye ana bifu na walimu maana ndo waliokula ndogo yake
 
Usilopoke tu, ivi unajua senior officer tu wa TPDC analipwa bei Gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…