Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Sasa nadhani unakasoro ndugu! Mwalimu kulawiti haimanishi ni walimu wote.

Kuna mapadre na mashehe wamewahi kuripotiwa kufanya hivyo, je ni mapadre na mashehe wote wanalawiti? Umekosa mvuto kabisa!!

Uongozi wa JF kulea mtu huyu anayedhalilisha kada kubwa na muhimu katika taifa hili(walimu) naamini haiko sawa.

Ni wakati muafaka akaonywa, ili atafute njia sahihi ya kufikisha malalamioko yake kwa nidhamu.

Ni kweli walimu wamedharauliwa na mamlaka kadhaa kutokana na jinsi wanavyotumiwa bila uwiano wa malipo, hii isiwe sababu ya kuhalalisha kila raia wa nchi hii amnange mwalimu.
Mwalimu koma nikome! Achana na mimi, hatuwezi vumilia vitendo vya ulawiti Kwa watoto wadogo ima wakubwa.
 
Sasa nadhani unakasoro ndugu! Mwalimu kulawiti haimanishi ni walimu wote.

Kuna mapadre na mashehe wamewahi kuripotiwa kufanya hivyo, je ni mapadre na mashehe wote wanalawiti? Umekosa mvuto kabisa!!

Uongozi wa JF kulea mtu huyu anayedhalilisha kada kubwa na muhimu katika taifa hili(walimu) naamini haiko sawa.

Ni wakati muafaka akaonywa, ili atafute njia sahihi ya kufikisha malalamioko yake kwa nidhamu.

Ni kweli walimu wamedharauliwa na mamlaka kadhaa kutokana na jinsi wanavyotumiwa bila uwiano wa malipo, hii isiwe sababu ya kuhalalisha kila raia wa nchi hii amnange mwalimu.
Huyu ni mwalimu anayejichukia

Relax mkuu,tutamnyoosha tu,ata usiite mods,watuachie huyu mpwayungu village tunamweza
 
Hakuna mwalimu huyu Kwa msimamo wangu na nalijua hili kwakua najua akili zao za kujiongeza kibiashara ni zero. Ukiona mwalimu ana million mia tu ujue huyo kastafu juzi na baada ya wiki mbili utakuta kanunua pikipiki na anaanza ujenzi wa nyumba ya kimasikini isiyozidi million ishirini

Walimu hawa sijui walimkosea nini mwenyezi Mungu. Jana Kuna mwalimu kalawiti mtoto WA darasa la tatu chooni, yani unafanya mapenzi kwenye vyoooo akili za walimu hizi dah View attachment 2574700
Ila unawatesa sana waalimu.... Na omba wasiwajue wstoto wako..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wapo kibao tu binafsi nawafaham kma wanne hivi wapo mkoa wa katavi

No waliku poa wafanya biashara na wakulima wakubwa tu

Na kitu kingine
Usiwachukie sana walimu
Manake kikawaida hakuna mtumishi wa kuwa na milion 200 kwa acc either awe mfanya biashara pia au nje ya mshahara au awe kiongozi wa juu

Awe polis
Awe jwtz
Awe magereza
Awe usalama
Awe halmashaur
Awe wizaran
Awe mkoan
Ngazi ya kata
Au kijiji

M200 awe mwizi au mfanyabiashara ni inawezekana
 
Mpwayungu mwenyewe kwa mandishi yake amekiri wazi anatamani kuwa mwanamke, huyu ni chizi tu!!
Huyo alilawitiwa akiwa mtoto

Hivyo Bado ana Ile psychological torture

Na kama haitoshi akangukia katika fani ya wale waliomlawiti hivyo nafsi yake ipo kwenye conflict kukubaliana na ukweli

Ndo maana unaoana hizi psychological self projection haziiishi humu
 
Wapo kibao tu binafsi nawafaham kma wanne hivi wapo mkoa wa katavi

No waliku poa wafanya biashara na wakulima wakubwa tu

Na kitu kingine
Usiwachukie sana walimu
Manake kikawaida hakuna mtumishi wa kuwa na milion 200 kwa acc either awe mfanya biashara pia au nje ya mshahara au awe kiongozi wa juu

Awe polis
Awe jwtz
Awe magereza
Awe usalama
Awe halmashaur
Awe wizaran
Awe mkoan
Ngazi ya kata
Au kijiji

M200 awe mwizi au mfanyabiashara ni inawezekana
Hao wote Hana shida nao

Hao wote hawakumlawiti wakati angali mdogo

Yeye ana bifu na walimu maana ndo waliokula ndogo yake
 
Wapo kibao tu binafsi nawafaham kma wanne hivi wapo mkoa wa katavi

No waliku poa wafanya biashara na wakulima wakubwa tu

Na kitu kingine
Usiwachukie sana walimu
Manake kikawaida hakuna mtumishi wa kuwa na milion 200 kwa acc either awe mfanya biashara pia au nje ya mshahara au awe kiongozi wa juu

Awe polis
Awe jwtz
Awe magereza
Awe usalama
Awe halmashaur
Awe wizaran
Awe mkoan
Ngazi ya kata
Au kijiji

M200 awe mwizi au mfanyabiashara ni inawezekana
Usilopoke tu, ivi unajua senior officer tu wa TPDC analipwa bei Gani?
 
Back
Top Bottom