Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Hawa wanaokufariji kwenye huu ujinga wako hatudili nao

Siye na wewe tu

Mpaka unapokaa tutayajua,mpka upo na unafanya nini tutapajua Ili tuprove haya unayoyaandika humu huko field hapo

Jiandae
Tena kwa ushahidi wa video
 
Usimlaumu mkuu,inawezekana matarajio yamekuwa tofauti kwa hiyo ana makasiriko
Nina uhakika hata kazi yenyewe hajapata,kama unavyojua ajira zilivyokuwa ngumu,alafu ana diploma ya ualimu na GPA ya 3.6
 
Huyo ndo mpambanaji kama Mimi

Mpe hongera zake
 
Hahahahaha huyu mwalimu mpwayungu labda Ana hasira ya kukosa ajira,tena ana Diploma maskini tena ya 3.6[emoji2][emoji2][emoji2]
Ogopa Mungu na teknolojia
 
Mzee wangu alisoma bachelor ya General agriculture pale sua miaka ya 90 then aka fanya postgraduate ya education udsm ili awe ticha, amestaafu kama afisa elimu, ualimu mbona ulimlipa fresh tu na alikuwa anaupenda damuni yaani
 
Hujatembea ndugu yangu, nakupa ushuhuda nakutajia na wilaya kabisa. Nilimkuta mwalimu wilaya ya Kiteto nahifadhi jina la shule yule mwalimu tulimkuta ana fuso 4 gari ndogo ya kutembelea na guest house mbili na bar. Kizuri zaidi jamaa anaipenda kaxi yake ya ualimu balaa mpaka maafisa elimu kila siku yeye ndio mfano kwa utendaji mzuri ktk shule yake na ndio mwalimu mkuu wa hiyo shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…