Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Naona umeamua kutumia kivuli cha walimu ili upate ku-trend jf. Unajidhalilisha tu kwa maoni yangu.

Wengi tusingekuwa hapa kama sio walimu, hata hivyo mbona kada nyingi tu watu hawana hizo pesa, mbona lawama kwa walimu pekee. Hapo ulipo account yako inasoma shilingi ngapi mkuu?
Usimlaumu mkuu,inawezekana matarajio yamekuwa tofauti kwa hiyo ana makasiriko
Nina uhakika hata kazi yenyewe hajapata,kama unavyojua ajira zilivyokuwa ngumu,alafu ana diploma ya ualimu na GPA ya 3.6
 
Siongei kwa kukuoppose hoja yako..ni kweli ni nadra sana mwalimu kua na hela kiasi hcho
Ila mm nina mfano hai Baba mkubwa wangu alikua ni mwalimu amestaafu mwaka juzi...asingeugua kipindi flani angekua tajiri haswaaa
Alikua ana hela sana sjui unaelewa ninavyosema alikua ana hela na hajawah kuacha kazi yake ya ualimu mpaka anastaafu ..
Huyo ndo mpambanaji kama Mimi

Mpe hongera zake
 
Hahahahaha huyu mwalimu mpwayungu labda Ana hasira ya kukosa ajira,tena ana Diploma maskini tena ya 3.6[emoji2][emoji2][emoji2]
Ogopa Mungu na teknolojia
 
Uhuuhuhuhu mkuu nyie ccm ndomnasaidiwa kwenye uchaguzi na hawa vilaza
Mpuuzi wew kumbe una ka diploma? Tena ka 3.6?
Ogopa Mungu na teknolojia [emoji2][emoji2]
Screenshot_20230403-182040.jpg
 
Nashuhudia wimbi la walimu kwenda kusoma sheria, daktari, uhandisi nk lakini sijaona tangu kuzaliwa kwangu mtumishi wa kada nyingine kama sheria na afya akasomee ualimu ili awe mwalimu.

Walimu mjitathimin, msipofanya mapinduzi kwenye sekta yenu nitawala za kichwa kila siku dadeki. Anzeni kudili na wakuu wa shule hao wanapandikizwa sumu kwenye vikao vyao halmashauri, baada ya hapo pondeni wasagike viongozi wote wa CWT, TUCTA, TSC namatokolinyo yote.

Lastly ingieni barabarani kufanya revolution ya kibabe ili mshinikize muanze kupewa teaching allowance
Mzee wangu alisoma bachelor ya General agriculture pale sua miaka ya 90 then aka fanya postgraduate ya education udsm ili awe ticha, amestaafu kama afisa elimu, ualimu mbona ulimlipa fresh tu na alikuwa anaupenda damuni yaani
 
Hakuna mwalimu huyu Kwa msimamo wangu na nalijua hili kwakua najua akili zao za kujiongeza kibiashara ni zero. Ukiona mwalimu ana million mia tu ujue huyo kastafu juzi na baada ya wiki mbili utakuta kanunua pikipiki na anaanza ujenzi wa nyumba ya kimasikini isiyozidi million ishirini.

Walimu hawa sijui walimkosea nini mwenyezi Mungu. Jana Kuna mwalimu kalawiti mtoto wa darasa la tatu chooni, yani unafanya mapenzi kwenye vyoooo akili za walimu hizi dah.

Hujatembea ndugu yangu, nakupa ushuhuda nakutajia na wilaya kabisa. Nilimkuta mwalimu wilaya ya Kiteto nahifadhi jina la shule yule mwalimu tulimkuta ana fuso 4 gari ndogo ya kutembelea na guest house mbili na bar. Kizuri zaidi jamaa anaipenda kaxi yake ya ualimu balaa mpaka maafisa elimu kila siku yeye ndio mfano kwa utendaji mzuri ktk shule yake na ndio mwalimu mkuu wa hiyo shule
 
Back
Top Bottom