Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Nashukuru Kwa ushuhuda huu mkuuHujatembea ndugu yangu, nakupa ushuhuda nakutajia na wilaya kabisa. Nilimkuta mwalimu wilaya ya Kiteto nahifadhi jina la shule yule mwalimu tulimkuta ana fuso 4 gari ndogo ya kutembelea na guest house mbili na bar. Kizuri zaidi jamaa anaipenda kaxi yake ya ualimu balaa mpaka maafisa elimu kila siku yeye ndio mfano kwa utendaji mzuri ktk shule yake na ndio mwalimu mkuu wa hiyo shule
Hilo papai bivu tayariTusimtenge tumsaidie, Kwa hii Kazi yetu Kama umeanza Kazi kwenye kituo chenye mazingira mazuri Mshukuru Mungu, kuna mazingira yanavuruga ubongo, unajikuta umechanganyikiwa....usipokuwa vizuri unaweza kujikuta kwenye ulevi, sasa huyu kapata ugonjwa wa akili, Kama ilivyo mlevi huona raha akilewa na huyu huona raha akitukana walimu....though am certain huyu bado hajaajiriwa.
Msaidieni mwanaume mwenzenu. mpeni connection kabla hajawa papai.
AahahajHilo papai bivu tayari
Labda kama wanafanya part time na kuwa mwalimu full-time lazima uwe na cheti cha ualimu vinginevyo hauwezi kukubaliwa.Unaongelea shule za Serikali wewe
Private wako mainjinia wanafundisha fizikia na hesabu,wako wachumi ,wako wahasibu wanafundisha masomo ya uchumi ns uhasibu nk kibao
Mleta mada nadhani unaongeleq za Serikali Private wapo kibao
Umeona eeenhhh?!Nahisi ungetafuta maudhui mengine ya kuendeleza siku JF. Hili la kutukana na kudhihaki walimu lishakinaisha sasa.
Tangu ilipokuwa inachekesha ukiwaandika walimu, ikaja kukera sasa imefikia ku bore.
Hamia kwa kada nyingine sasa chief.
Baadhi lakini wengi wana diploma za Education za masomo husika kabla kwenda kusoma pure degree zisizo za education na post graduate za education.masomo na masters za education management waliopita mikondo ya diploma wakaenda kuchukua digrii za kawaida sio za ualimu baadaye wakaenda private schools wakiwa Engineers,Economics, Accountants nk private schoolsLabda kama wanafanya part time na kuwa mwalimu full-time lazima uwe na cheti cha ualimu vinginevyo hauwezi kukubaliwa.
Mbaya zaidi ana stashahada tu! Maana kama alifanikiwa kweli kujiunga na elimu ya chuo kikuu, 2021, anatakiwa muda huu awe second year!Kwahiyo ulisomea ualimu?,
ila uko hapa unawaponfa waalimu!
Wewe jamaa mbaya sana,uzuri ni mgogo,IQ yako ina walakini;
Hahaha A failed teacher [emoji867][emoji25][emoji24][emoji24][emoji24][emoji26][emoji112][emoji112][emoji112][emoji1787][emoji24][emoji13]🥱[emoji2960]Nashuhudia wimbi la walimu kwenda kusoma sheria, daktari, uhandisi nk lakini sijaona tangu kuzaliwa kwangu mtumishi wa kada nyingine kama sheria na afya akasomee ualimu ili awe mwalimu.
Walimu mjitathimin, msipofanya mapinduzi kwenye sekta yenu nitawala za kichwa kila siku dadeki. Anzeni kudili na wakuu wa shule hao wanapandikizwa sumu kwenye vikao vyao halmashauri, baada ya hapo pondeni wasagike viongozi wote wa CWT, TUCTA, TSC namatokolinyo yote.
Lastly ingieni barabarani kufanya revolution ya kibabe ili mshinikize muanze kupewa teaching allowance
Prado lako lipo wapi mkuu!?Nashuhudia wimbi la walimu kwenda kusoma sheria, daktari, uhandisi nk lakini sijaona tangu kuzaliwa kwangu mtumishi wa kada nyingine kama sheria na afya akasomee ualimu ili awe mwalimu.
Walimu mjitathimin, msipofanya mapinduzi kwenye sekta yenu nitawala za kichwa kila siku dadeki. Anzeni kudili na wakuu wa shule hao wanapandikizwa sumu kwenye vikao vyao halmashauri, baada ya hapo pondeni wasagike viongozi wote wa CWT, TUCTA, TSC namatokolinyo yote.
Lastly ingieni barabarani kufanya revolution ya kibabe ili mshinikize muanze kupewa teaching allowance
Jamaa baada ya kuwa verified ni mwalimu hajarudi kusema chochote,aje apinge hapa.Mbaya zaidi ana stashahada tu! Maana kama alifanikiwa kweli kujiunga na elimu ya chuo kikuu, 2021, anatakiwa muda huu awe second year!
mpwayungu village, wewe ni fungu la kukosa. Unaonekana wazi umesomea ualimu! Na kwa bahati mbaya sana mpaka sasa hujaajiriwa. Na hivyo kutokana na stress za mtaani; umejikuta tu umeichukia fani ya ualimu, serikali, pamoja na walimu kwa ujumla wake.
Pole sana my young brother. All in all, you need to work hard.
Nilimuambia hapa juzi kati. Alikataa kata kata kuwa yeye siyo mwalimu aliyekosa ajira/kufukuzwa kazi. Sasa leo kaburi limefukuliwa, ukweli umejulikana. 😁Hahahahaha huyu mwalimu mpwayungu labda Ana hasira ya kukosa ajira,tena ana Diploma maskini tena ya 3.6[emoji2][emoji2][emoji2]
Ogopa Mungu na teknolojia
Yaani hilo shoga halijui maisha yapoje yeye ni kubwabwaja tu.Unaongelea shule za Serikali wewe
Private wako mainjinia wanafundisha fizikia na hesabu,wako wachumi ,wako wahasibu wanafundisha masomo ya uchumi ns uhasibu nk kibao
Mleta mada nadhani unaongeleq za Serikali Private wapo kibao
Atakuwa alienda TEKU. Udsm hawachukui watu wenye ufaulu wake.Vp shule dogo udsm ulidco au ulitoboa kuna mchongo hapa mwalimu wa civics anaitajika chap
Saizi atakua anajiandaa Scheme of work na ma lesson plan ya teaching practice ya mwaka wa pili mana yupo bize kweliAtakuwa alienda TEKU alikoweka kama chaguo lake la pili. Udsm hawachukui watu wenye ufaulu wake.
Hiyo nyundo ya utosi naitengeneza... Nimeona KWa macho yangu kwenye VAR yangu....Kwa ufaulu huu naweza kupata nafasi ya kusoma UDSM main kampasi?
Mimi nimhitimu wa chuo cha ualimu x ngazi ya kati yaani diploma nimepata GPA ya 3.6 SWALI: Je, kwa ufaulu huu naweza kupata nafasi yakusoma shahada i.e. Bachelor chuo kikuu UDSM main kampasi? Wenye uzoefu tafadhali ili kama main campus kuna compitition nisitupe 10000 yangu niaply Teofilo Kisanji.www.jamiiforums.com
Full time mkataba wa miaka miwilimiwili.Labda kama wanafanya part time na kuwa mwalimu full-time lazima uwe na cheti cha ualimu vinginevyo hauwezi kukubaliwa.
Kwa ufaulu huu naweza kupata nafasi ya kusoma UDSM main kampasi?
Mimi nimhitimu wa chuo cha ualimu x ngazi ya kati yaani diploma nimepata GPA ya 3.6 SWALI: Je, kwa ufaulu huu naweza kupata nafasi yakusoma shahada i.e. Bachelor chuo kikuu UDSM main kampasi? Wenye uzoefu tafadhali ili kama main campus kuna compitition nisitupe 10000 yangu niaply Teofilo Kisanji.www.jamiiforums.com