Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Walimu Mei mosi imekaribia, andaeni mabango ya maandamano ya Amani

Hujatembea ndugu yangu, nakupa ushuhuda nakutajia na wilaya kabisa. Nilimkuta mwalimu wilaya ya Kiteto nahifadhi jina la shule yule mwalimu tulimkuta ana fuso 4 gari ndogo ya kutembelea na guest house mbili na bar. Kizuri zaidi jamaa anaipenda kaxi yake ya ualimu balaa mpaka maafisa elimu kila siku yeye ndio mfano kwa utendaji mzuri ktk shule yake na ndio mwalimu mkuu wa hiyo shule
Nashukuru Kwa ushuhuda huu mkuu
 
Tusimtenge tumsaidie, Kwa hii Kazi yetu Kama umeanza Kazi kwenye kituo chenye mazingira mazuri Mshukuru Mungu, kuna mazingira yanavuruga ubongo, unajikuta umechanganyikiwa....usipokuwa vizuri unaweza kujikuta kwenye ulevi, sasa huyu kapata ugonjwa wa akili, Kama ilivyo mlevi huona raha akilewa na huyu huona raha akitukana walimu....though am certain huyu bado hajaajiriwa.
Msaidieni mwanaume mwenzenu. mpeni connection kabla hajawa papai.
Hilo papai bivu tayari
 
Huyu nae yawezekena ni baba au mama wa familia. Hao unaowananga ndiyo wamekufundisha kusoma na kuandika hadi unatupia humu hizi thread. Ungelinganisha hao Walimu na idara nyingine zenye kumiliki hizo milion mia 2. Ni kada ipi mtu anaweza kimilki hicho kiasi, labda kwa kuiba tena wizi wa kimataifa. Wewe ni Mwalimu tena real teacher kwa namna ambavyo nimekuwa nakufuatilia. Isipokuwa kuna kitu hakiko sawa kwenye ualimu wako. In fact you're not psychologically fit. Mimi siyo mganga ila huo ndiyo ukweli.
 
Unaongelea shule za Serikali wewe

Private wako mainjinia wanafundisha fizikia na hesabu,wako wachumi ,wako wahasibu wanafundisha masomo ya uchumi ns uhasibu nk kibao

Mleta mada nadhani unaongeleq za Serikali Private wapo kibao
Labda kama wanafanya part time na kuwa mwalimu full-time lazima uwe na cheti cha ualimu vinginevyo hauwezi kukubaliwa.
 
Labda kama wanafanya part time na kuwa mwalimu full-time lazima uwe na cheti cha ualimu vinginevyo hauwezi kukubaliwa.
Baadhi lakini wengi wana diploma za Education za masomo husika kabla kwenda kusoma pure degree zisizo za education na post graduate za education.masomo na masters za education management waliopita mikondo ya diploma wakaenda kuchukua digrii za kawaida sio za ualimu baadaye wakaenda private schools wakiwa Engineers,Economics, Accountants nk private schools

Private schools wako Engineers, Aaccountants,Ecinomists kibao nk wanashika chaki private schools full-time wala sio part time

.
 
Kwahiyo ulisomea ualimu?,
ila uko hapa unawaponfa waalimu!
Wewe jamaa mbaya sana,uzuri ni mgogo,IQ yako ina walakini;
Mbaya zaidi ana stashahada tu! Maana kama alifanikiwa kweli kujiunga na elimu ya chuo kikuu, 2021, anatakiwa muda huu awe second year!

mpwayungu village, wewe ni fungu la kukosa. Unaonekana wazi umesomea ualimu! Na kwa bahati mbaya sana mpaka sasa hujaajiriwa. Na hivyo kutokana na stress za mtaani; umejikuta tu umeichukia fani ya ualimu, serikali, pamoja na walimu kwa ujumla wake.

Pole sana my young brother. All in all, you need to work hard.
 
Nashuhudia wimbi la walimu kwenda kusoma sheria, daktari, uhandisi nk lakini sijaona tangu kuzaliwa kwangu mtumishi wa kada nyingine kama sheria na afya akasomee ualimu ili awe mwalimu.

Walimu mjitathimin, msipofanya mapinduzi kwenye sekta yenu nitawala za kichwa kila siku dadeki. Anzeni kudili na wakuu wa shule hao wanapandikizwa sumu kwenye vikao vyao halmashauri, baada ya hapo pondeni wasagike viongozi wote wa CWT, TUCTA, TSC namatokolinyo yote.

Lastly ingieni barabarani kufanya revolution ya kibabe ili mshinikize muanze kupewa teaching allowance
Hahaha A failed teacher [emoji867][emoji25][emoji24][emoji24][emoji24][emoji26][emoji112][emoji112][emoji112][emoji1787][emoji24][emoji13]🥱[emoji2960]
 
Nashuhudia wimbi la walimu kwenda kusoma sheria, daktari, uhandisi nk lakini sijaona tangu kuzaliwa kwangu mtumishi wa kada nyingine kama sheria na afya akasomee ualimu ili awe mwalimu.

Walimu mjitathimin, msipofanya mapinduzi kwenye sekta yenu nitawala za kichwa kila siku dadeki. Anzeni kudili na wakuu wa shule hao wanapandikizwa sumu kwenye vikao vyao halmashauri, baada ya hapo pondeni wasagike viongozi wote wa CWT, TUCTA, TSC namatokolinyo yote.

Lastly ingieni barabarani kufanya revolution ya kibabe ili mshinikize muanze kupewa teaching allowance
Prado lako lipo wapi mkuu!?
 
Mbaya zaidi ana stashahada tu! Maana kama alifanikiwa kweli kujiunga na elimu ya chuo kikuu, 2021, anatakiwa muda huu awe second year!

mpwayungu village, wewe ni fungu la kukosa. Unaonekana wazi umesomea ualimu! Na kwa bahati mbaya sana mpaka sasa hujaajiriwa. Na hivyo kutokana na stress za mtaani; umejikuta tu umeichukia fani ya ualimu, serikali, pamoja na walimu kwa ujumla wake.

Pole sana my young brother. All in all, you need to work hard.
Jamaa baada ya kuwa verified ni mwalimu hajarudi kusema chochote,aje apinge hapa.

Uongo na unafiki mbaya sana,jamaa amedharau ajira za watu.
Haijalishi maslahi ya waalimu ni madogo,waheshimiwe.
Mwalimu Mpwayungu acha ujinga.
 
Unaongelea shule za Serikali wewe

Private wako mainjinia wanafundisha fizikia na hesabu,wako wachumi ,wako wahasibu wanafundisha masomo ya uchumi ns uhasibu nk kibao

Mleta mada nadhani unaongeleq za Serikali Private wapo kibao
Yaani hilo shoga halijui maisha yapoje yeye ni kubwabwaja tu.
 
Hiyo nyundo ya utosi naitengeneza... Nimeona KWa macho yangu kwenye VAR yangu....
 
20230403_202510.jpg
 
Back
Top Bottom